KAGERA SUGAR:
Ilianza vibaya mzunguko wa kwanza, lakini baadaye ikasimama imara na kuanza kufanya vizuri, hatimaye kufanikiwa kumaliza katika nafasi ya tano. Huwezi kuifikiria ubingwa hata nafasi ya pili, lakini pia huwezi kuitabira kumaliza nje ya timu tano za juu mwishoni mwa msimu. Katika mechi 13, imeshinda tano, sare tano na kufungwa tatu, imefunga mabao 15, imefungwa 10 na imemaliza na pointi 20.
P W D L GF GA GD Pts
5 Kagera Sugar 13 5 5 3 15 10 5 20

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About