kikwete-01
FOMU za mbio ndefu za Uhuru, maarufu kama Uhuru Marathon, zinatarajiwa kuanza kuuzwa rasmi kuan zia kesho, huku Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuchukua fomu namba moja.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa Kamati ya Uhuru Marathon, Innocent Melleck alisema, Rais Kikwete ndiye atakayepewa fomu nambo moja kwa ajili ya kushirikishi mbio hizo.

“Hizi mbio zina maana kubwa mno ndani ya Taifa letu, Rais Jakaya Kikwete muda wote anasisitiza na kupigania amani. Amani ni yetu sote, si vyema kumuachia Rais Kikwete peke yake kuipigania, hivyo yeye ndiye atakayekuwa namba moja katika kuchukua fomu na kushiriki mbio hizo,” alisema.

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About