

Urafiki wa Wanaume: Usiku mmoja Mwanaume hakurudi nyumbani. Asubuhi ilipofika alimueleza mke wake kwamba alikwa amelala kwa rafiki yake. Mke akaamua kuwapigia simu marafiki kumi wa karibu wa mume wake, wanane kati ya hao kumi walisema kweli alilala kwao, na wawili waliobaki walisema kuwa bado wapo nae mpaka muda huo.
Wanaume hupenda kuungana mkono minongoni mwao. Unadhani ni kwanini...?
Tafakari kwa makini utaelewa maana, ukielewa nieleze kwa faida ya wengine pia...
0 comments:
Post a Comment