LOUIS van Gaal kwa mara ya kwanza tangu aanze rasmi kazi ya kuikochi Manchester United, ameteua kikosi cha wachezeji 25 kwaajili ya ziara ya Marekani kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya ujao.


Kikosi hicho cha wachezaji 25 kilipaa Ijumaa mchana huku wachezaji Anderson, Bebe na Patrice Evra wakiachwa kwenye ziara hiyo.

Bebe na Patrice Evra wanahusishwa na safari ya kujiunga na timu za Benfica and Juventus huku Anderson akiachwa baada ya kuumia mazoezini.

Kikosi kamili kilichokwenda Marekani ni hiki hapa

Magolikipa: David De Gea, Anders Lindegaard, Ben Amos, Sam Johnstone.

Mabeki: Rafael, Jonny Evans, Chris Smalling, Phil Jones, Luke Shaw, Tyler Blackett, Michael Keane, Reece James.

Viungo: Ander Herrera, Tom Cleverley, Darren Fletcher, Ashley Young, Wilfried Zaha, Shinji Kagawa, Juan Mata, Antonio Valencia, Nani, Jesse Lingard.

Washambuliaji: Danny Welbeck, Wayne Rooney, Will Keane.



Wayne Rooney na Juan Mata





Ander Herrera, Rafael, De Gea na Mata wakiwa ndani ya ndege



Anderson na Bebe wakirejea nyumbani baada ya mazoezi

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About