
Katika
kampeni ndogo ya kuangaliwa nani anakubalika zaidi kati ya Diamond na
Alikiba imeonesha kuwa alikiba anakubalika saana na Watanzania, kwani
katika comment nilizozikuta mimi kati ya comment 43, 31 walisema
wanamkubali Alikiba huku 12 tu wakisema wao wanamkubali Diamond
Kwa
uchambuzi huu Alikiba anapendwa kwa asilimia 77.5 na Diamondi 22.5.
kumbuka uchambuzi huu umefanya katika comment za ukurasa wa facebook wa
East Africa Television na bila upendeleo....comment hizo hazijawekwa
hapa kutokana na matatizo ya kiufundi.
Bila upendeleo, yupi unamkubali kwa sauti na mashairi kati ya
0 comments:
Post a Comment