Estelinah Sanga maarufa kama Linah amefanya video yake ya kwanza na director wa South Africa Godfather. Director huyu ndiye aliyetengeneza video ya Mdogomdogo ya Diamond,Kerewa ya Sheta na video nyingine za P Square na Davido.

Wimbo unaitwa Ole Themba. Enjoy kuangalia hiki kipande ukisubili video kamili
BOFYA >>HAPA<< KUTAZAMA VIDEO NI BALAA

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About