Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakhem, jijini Dar usiku huu wa sikukuu ya Krismasi.
Mashabiki wa Joh Makini ndani ya Dar Live wakiwa wamepagawa na burudani

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About