Mastaa wa filamu Bongo, Dk. Cheni (kushoto), Wastara Juma (katikati) na Mzee Chilo (kulia) wakitoa burudani juu ya steji ya Dar Live.
Mwigizaji Wastara Juma akiongea na mashabiki wake wa Dar Live.
Dk. Cheni naye akilonga na mashabiki wake wa Dar Live,.
Mzee Chilo akijiachia stejini na Wastara.
...Mzee Chilo akicheza sambamba na mshereheshaji katika shoo ya leo, Pamela Daffa.
Mmoja wa wasanii wa Bongo Movie akiongea na mashabiki wake wa Dar Live.
Wastara akiwapa tano mashabiki.
Mshereheshaji Pamela Daffa akifanya yake stejini.
Nyomi ikiwashangilia baadhi ya mastaa waliopanda stejini.

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About