Katika post yake hiyo Wema aliandika
“…Hongera tele ziende kwa kaka platnumz... I must say he did Tanzania proud..” na kufanya watu waanze kufunguka ya kwaio ya moyoni kuhusu kauli hiyo na baadhi yao walisema haya.
MELA : “Leo kawa kaka!!!!!! Aiseeee mapenz ya mastaa mafupi kama mkia wa kondoo”
“ LILY: “et kaka plutnums heheheheh wema bwana”
“PIERE: mara hii kaka tena?? Ohhhhhh”
ANNA: “hao ni wakuwaacha kesho.tu.watakua tena pamoja”
Katika tuzo hizo, diamond alisindikiwa na anayesemekana kuwa kipenzi chake cha sasa, mwanadada Zari ktukoa nchini Uganda, pamoja na mama yake mzazi na team ya wasafi.
Nini maoni yako mdau kuhusu ishu hii?
0 comments:
Post a Comment