Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond.
Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la jaji
Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu
Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor akiwa na pingu mkononi.Tazama picha.
Professor akiwa na askari
Professor akiwa na askari
P-Funk  na Adam Juma
P-Funk na Adam Juma
Dj Choka na Rome Jons
Dj Choka na Romy Jones
Diamond na Dj Choka
Diamond na Dj Choka

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About