Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa
wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz.
SOMA NA HII =>MTOTO WA MCHUNGAJI APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MTANDAONI BOFY AHAPA
Akizungumza na Bongo5, Bob Junior aliyetayarisha nyimbo za Diamond zikiwemo ‘Kamwambie’ na ‘Mbagala’ amesema kwakuwa yeye ndiye aliyemtoa akiamua muda wowote wanaweza kufanya naye kazi.
“Kwa sababu nia bado ipo na sisi tupo hai hatuwezi kujua nini kitatokea, siwezi sema natamani ni kijana wangu ambaye nimemtoa mimi nikiamua siku nafanya naye nitafanya naye, haiwezi kuwa na ugumu,” amesema Bob Junior.

0 comments:
Post a Comment