Aliyekuwa mshabuliaji wa Atletico Madrid Diego Costa, 25, amekamilisha usajili wake kwenda Chelsea na kusaini mkataba wa miaka mitano. Ada ya uhamisho inadhaniwa kuwa takriban pauni milioni 32.
"Nimefurahi sana kusaini Cheslea," amesema Costa. "Kila mtu anafahamu ni klabu kubwa katika ligi yenye ushindani, na nina hamasa kubwa ya kuanza kucheza England."
0 comments:
Post a Comment