Diamond
Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi
wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema Sepetu n
miongoni mwa watu waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere Internation Airpot.
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Diamond Platnumz.



0 comments:
Post a Comment