Diamond Platnum amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa zimetengenezwa na ku recordiwa nje ya Tanzania.Leo hii tarehe 7/7 ni siku ambayo alizaliwa mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku hii ya kumbukumbuku nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia video hizo.Video ya mdogo mdogo imetegenezwa South Africa, na imemgharimu dola 40,000  ambayo ni sawa na sh milioni 67,200,000. video imefanyika South Africa Director ni Godfather.

na video ya wimbo wake na Iyanya "Mdogo mdogo" iliyotengenezwa na kurekodiwa London imemgharimu pia dola 40,000  nakutengeneza jumla ya shilingi milioni 134,400,000....Tazama video zote hapa chini 



Video hii imefanyika London na Director ni Moe Musa.

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About