Kombe la Dunia litakalo fanyika Brazil majira ya kiangazi mwaka huu ni ndoto ya kila mchezaji ambayo anataka itimie kuna wengine wameshindwa kushiriki kutokana na timu zao hazikufuzu lakini kunawengine timuzao zimefuzu lakini hawataweza kushiriki kutokana na majeruhi watakuwa wanaangalia wenzao wakicheza uwanjani kupitia tv
KENGETE BLOG inakuletea top 10 yawachezaji ambao timu zao zimefuzu lakini hawataungana na wezao kutokana na majeruhi nao ni..
10. Robbie Kruse – Australia

9. Makoto Hasebe – Japan

8. Bruma – Portugal

7. Holger Badstuber – Germany

6. Sami Khedira – Germany

5. Kevin Strootman – Netherlands

4. Giuseppe Rossi – Italy

3. Theo Walcott – England

2. Victor Valdes – Spain

1. Radamel Falcao – Colombia

Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Shiriki kwenye TwitterShiriki kwenye Facebook
0 comments:
Post a Comment