Sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi.
maoni yangu: Nabe acha kushindana na Lowasa au umesahau ulivyobanwa kule dodoma ukitakiwa kupeleka ushahidi wa ufisadi wa lowasa vinginevyo umuombe msamaha, ukakomea kumpigia magoti, umesahau ulishatangaza siku 90 vinginevyo ungemg'o mpaka leo Siku 90 imegeuka miaka 90..

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About