Dayna Nyange Msanii kutoka Morogoro amelalamikiwa na Msanii Mwenzake 
kutoka Kigoma aitwae Vumbe wa K Town 

kwa kuiba Wimbo Wake uitwao
Pendo na Yeye Kuibadilisha na kuiita Mimi na Wewe.
Kupitia account yake ya facebook hichi ndicho alichoandika Vumbe wa K Town
juu ya Dayna.

''Wimbo wa Dayna uitwao Mimi na Wewe ni Wimbo wng nae kaamua kufanya malipiz 
kwangu badala ya Diamond..Tokea umetoka leo ndio nimeusikia huu wimbo ni moja kati ya 
nyimbo mbili nilizompelekea kwa niaba aziskize ipi angeweza kufanya vzr
ilikua hiyo ambayo mm niliita "Pendo" na "wapo"ambayo ndani alikua na

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About