Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga 
kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu
Categories:

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About