Joh Makini aielezea Maana ya Style ya Weusi waliyoibatiza jina la 'Viburi Flow'

Hiki ndicho alichokizungumza 'Utakapotusikia sisi,utagundua kuwa tunapiga michano tofauti na marapa wengine nchini'Alisema Joh,marapa wengine wamekuwa wakipiga flow moja tangu wameanza kutoka kwenye game,kwa hiyo sisi ili kuleta changamoto na kupanua sura ya huu mchezo,tumeamua at least katika verse moja mtu unakuwa unapiga miondoko hata mitatu tofauti ili kusudi usimboe msikilizaji ambaye anaendelea kusikiliza.
 
Sababu Mwaka 2006 mpaka leo ningekuwa na flow moja hata kama ningekuwa nakuja na kitu gani kingine ninachowambia watu wangeona uemcee ni zaidi ya Uandishi.
 
Lazima uwe na kitu tofauti katyika michano yako ili kuwafanya watu waendelee kukusikiliza.kial siku uwe na mpya na ndio maana tukaanzisha hii Viburi Flow.'Alisema Joh Makini.
Categories:

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About