dah,nimempoteza mwanangu ambaye sitomsahau daima Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi GEORGE FINITY ni mwanangu aliekuwa akinipa moyo kila siku katika maisha haswa ya kimziki kwani jana nilikuwa nae CBE siku 
nzima akinisaidia kufuatilia swala la matokeo yangu kwa moyo wote mpaka nikafanikiwa tukaachana mida ya jioni na baadae mida ya saa tano alinipigia simu alikuwa amekaa na washkaji wakiskiliza nyimbo yangu ya KILAZA akanipigia simu kwa furaha sana akaniambia JACO nataka unipatie nyimbo zako zote kaka na amini mwaka huu jaco unatoka na Tanzania nzima itakuelewa tu mdogo wangu,ilo ndo neno la mwisho kuongea nae jana na sasa tunatoka mochwari kuangalia mwili wake akiwa amefariki jioni ya leo kwa ajali ya pikipiki,kweli ili ni pigo kwetu sote wanafunzi wa CBE kwani kila aliemjua GEORGE basi atadondosha chozi jamaa aliishi viizuri na kila mtu kutaka kila mmoja apate haki katika maisha,ulale mahali pema kaka.R.I.P GEORGE

0 comments:

Post a Comment

    Blogger news

    Blogroll

    Pages

    About